WATU BAKI-NEW YEAR RESOLUTION, COMEDY

PSSSF Commercial Complex 66C9+76Q,, Dar es Salaam

Mwaka umeanza, mipango imepangwa. Je utaweza kuitimiza? Wataalam wa hizi kazi tutakupa mbinu Tukutane PSSSF COMMERCIAL COMPLEX 27.01.2023 Regular 10K & VIP 20K

Tsh10000

SO MANY VALENTINES NO HUSBAND

PSSSF Commercial Complex 66C9+76Q,, Dar es Salaam

SO MANY VALENTINES NO HUSBAND Tag senior bachelor wote ujumbe uwafikie. Tukutane PSSSF COMMERCIAL COMPLEX 3.3.2023 Regular 10K & VIP 20K Ticket zinapatikana @otapptz Cinemax century ✅Mlimani City ✅Dar Free Market ✅Aura Mall

Tsh10000 – Tsh20000

DAKU (episode 24)

PSSSF Commercial Complex 66C9+76Q,, Dar es Salaam

Hebu tukipe jina hiki kikundi cha Daku WatuDaku  31/March/2023 Tukutane PSSSF COMMERCIAL COMPLEX Regular 15K & VIP 25K Ticket zinapatikana Cinemax century ✅Mlimani City ✅Dar Free Market ✅Aura Mall

Tsh15000 – Tsh25000

UBWABWA – EPISODE 25

PSSSF Commercial Complex 66C9+76Q,, Dar es Salaam

Vifaa vya kazi viko tayari ndizi, pilipili na kijicho. Tatizo ni mualiko tu Tukutane PSSSF COMMERCIAL COMPLEX 28.4.2023 Regular 15K & VIP 25K Ticket zinapatikana Cinemax century Mlimani City Dar Free Market Aura Mall Tabata kwa Bibi Makumbusho Plaza, Ground floor

Tsh15000 – Tsh25000

NJOO BAADAYE – EPISODE 26

PSSSF Commercial Complex 66C9+76Q,, Dar es Salaam

Karibuni sana kwa huduma za kushonewa Nguo za harusi, sendoff, birthday na baby shower. Tukutane PSSSF COMMERCIAL COMPLEX 26.5.2023 Regular 15K & VIP 25K Ticket zinapatikana @otapptz Cinemax century Mlimani City Dar Free Market Aura Mall

Tsh15000 – Tsh25000

KIZUNGU – WATUBAKI 2023

PSSSF Commercial Complex 66C9+76Q,, Dar es Salaam

Ni mwendo wa Mambo ya KIZUNGU TU. Tutawezana? Tukutane PSSSF COMMERCIAL COMPLEX Ijumaa Ijayo 30.6.2023 Regular 15K & VIP 25K Ticket zinapatikana kwenye APP Pia pale Century Cinemax ✅Mlimani City ✅Dar Free Market ✅Aura Mall

Tsh15000 – Tsh250002

WATUBAKI – LAUGHTER EXPERIENCE

Mabeyo Complex Near, NHC- Medeli Residential Apartments, Dodoma, Dodoma

WATUBAKI EXPERIENCE tumeingia ndani ya DODOMA na NBC DODOMA MARATHON @nbc_tanzania. Show itakuwa MABEYO COMPLEX - IJUMAA 21.7.2023 kuanzia saa 1:30 jioni VVIP- 50,000Tsh | VIP - 20,000Tsh | Regular - 10,000Tsh TICKETS ZINAPATIKANA 1. @littlemoredodoma iliyopo barabara ya 6 2. @denzel_driveway iliyopo Shoppers Plaza 3. @capitalminisupermarket iliyopo capital city mall 4. @nbc_tanzania Dodoma branch Tukimaliza Dodoma tunarudi Dar kwa Show ya Ijumaa 28 […]

Tsh10000 – Tsh50000

DINGI -WATUBAKI EPISODE. 28

PSSSF Commercial Complex 66C9+76Q,, Dar es Salaam

Usijichanganye na maDINGI wakiwa kijiweni kwao. Tukutane PSSSF COMMERCIAL COMPLEX 4.8.2023 Regular 15K & VIP 25K

Tsh15000 – Tsh25000

LEVO SITI – WATUBAKI EPS 29

PSSSF Commercial Complex 66C9+76Q,, Dar es Salaam

LEVO SITI Tukutane PSSSF COMMERCIAL COMPLEX 25.8.2023 Regular 15K & VIP 25K & VVIP 50K Ticket zinapatikana @otapptz Cinemax century ✅Mlimani City ✅Dar Free Market ✅Aura Mall

Tsh15000 – Tsh25000

MABANDIDU – EPISODE 30

PSSSF Commercial Complex 66C9+76Q,, Dar es Salaam

Washirika wa Afya Duniani wametaja “Domo zege Syndrome” kuwa Sabau ya Vijana wa Form 2 kujifanya Wagumu Don’t Care”😁. Mabandidu na wanajamii wenye mapenzi mema 29th September tutakua na ibada kubwa ya uponyaji kwa njia ya vicheko, roho ya kusita na kisebusebu zitafunguliwa! Regular 15K & VIP 25K & VVIP 50K Ticket zinapatikana @otapptz Cinemax century […]

Tsh15000 – Tsh50000