SAADANI INAVUTIA

Saadani National Park Saadani National Park, Pwani, Pwani

SAADANI INAVUTIA This June 29 @saadani_nationalpark nationalpark Hey there, Kindly i would like to welcome you to Our Saadani Tour 29 June this year. Lets have good time, enjoy, adventure, play and Connect.

Tsh55000

ULUGURU INAVUTIA

Uluguru Mountains Uluguru Mountains, Morogoro, Morogoro

Unayajua maji ya maporomoko wewe? Yani yale maji ya kutokea mbinguni. Sasa tarehe 31Agosti mpaka tar 1 Septemba wapenzi wa maji wote tunamtoko wa Kutokea Dar es salaam kwenda Morogoro naam yan Dar mpaka Moro kwenda kupanda milima ya @ulugurunatureforest kutembelea misitu na Kuogolea maji ya Mungu Sasa jiunge nasi kwa sh 80,000 tu ufurahie usafiri […]

Tsh80000