MARAFIKI NIGHT LIVE

Asedeva 6766+XWQ ASEDEVA, Dar es Salaam, Dar es salaam

Tumerejea na tunaendelea na burudani. MARAFIKI NIGHT LIVE ni tarehe 3 February burudani inaendelea kutolewa katika kiwanja chako pendwa cha Burudani ASEDEVA - Kinondoni Manyanya Cc @marafikinightlive @asedeva_tanzania @weka_music @acto_light_tanzania, Maonesho ya muziki mubashara yataanza 8 pm Mpaka baaae sanaaa, Mlangoni tunachangia 10k tu alafu tunaenda kujidai, kufurahi na marafiki 💃🏽🕺🏽 Wanamuziki watakao tumbuiza Ni […]

Tsh10,000

MARAFIKI NIGHT LIVE – “BAHATI FEMALE BAND”

ASEDEVA ASEDEVA, Dar es Salaam, Dar Es Salaam

VIBE la MARAFIKI NIGHT LIVE LINAENDELEA •Safari Hii ni zamu ya BAHATI FEMALE BAND @bahatifemaleband •Siku - Ijumaa ya tarehe 2 June 2023 •Muda - Kuanzia saa 2 Usiku hadi Baadae sana. •Mlangoni tunachangia 10k tu.,Chakula na Vinywaji ni Bwelele •Kiwanja ni kile kile ASEDEVA Kinondoni Manyanya

Tsh10000

MARAFIKI NIGHT LIVE

ASEDEVA ASEDEVA, Dar es Salaam, Dar Es Salaam

Ni MARAFIKI NIGHT LIVE inawaleta kwenu @sammyjohn_tz and the Band pamoja na @3g_singeliband Jambo Litahappen Friday 4 AUGUST 2023 Location: ASEDEVA Kinondoni Manyanya Muda: Kuanzia 2:00 Usiku Kiingilio: 10k Chakula  na Vinywaji Vinapatikana kwa Bei Nafuu Ukipata hii Siri usikaenayo,Mwambie mwenzio amwambie na mwenzake kwamba hili sio Jambo la Kukosa

Tsh10000

MARAFIKI NIGHT LIVE BURUDANI YA UHAKIKA

ASEDEVA ASEDEVA, Dar es Salaam, Dar Es Salaam

MARAFIKI NIGHT LIVE BURUDANI YA UHAKIKA Cc @marafikinightlive ABENEKO & THE POSITIVE MIND baada ya kumaliza Tour yao ya ulaya sasa watapiga kwenye MARAFIKI NIGHT LIVE💃🏾🕺🏾 Wengine watakao panda jukwaani ni MSWANU GOGO VIBES Jamani msipange kukosa Safari hii @marafikinightlive itakuwa siku ya ALHAMIS TAREHE 14| 09| 2023 Mahali: ASEDEVA Kinondoni Manyanya Muda: Kuanzia Saa 2 Usiku Kiingilio: […]

Tsh10000

MARAFIKI NIGHT LIVE

ASEDEVA ASEDEVA, Dar es Salaam, Dar Es Salaam

@marafikinightlive ni sehemu ya burudani za uhakika, Awamu hii tunawaletea msanii Ken Tiga @Ken_tiga kutoka Bagamoyo💃🏾🕺🏾 Pamoja na Serebuka Orchestra ni band inayoundwa na wasanii tofauti tofauti kutoka kwenye Serebuka Orchestra Workshop, mambo yatakuwa mukide burudani kwenda mbele Mahali: ASEDEVA Kinondoni Manyanya Cc @asedeva_tanzania @marafikimusicfestival Tarehe 08/12/2023 Muda: Kuanzia Saa 2 Usiku Kiingilio: 10k Chakula  na Vinywaji   Vinapatikana kwa bei […]

Tsh10000