PRINT MAKING TECHNIQUE CLASS
AfriRafiki, House of Language & Culture Gezaulole, KigamboniAfriRafiki HLC wanakuletea PRINTMAKING TECHNIQUE CLASS (Kwa watoto na wakubwa) chini ya Msanii wa Sanaa za Uoni/Visual Arts Ms. SAFINA KIMBOKOTA @safinakimbokota (Mkufunzi wa Sanaa UDSM) 🗓️ Ni J'mosi 17 May, 2025 ⌚ Saa 04.00 asbh - 7.00 mchana 📍 AfriRafiki - House of Languages & Culture @afrirafiki Kigamboni - Gezaulole Jumba la Maendeleo Mbuamaji […]