TRADITIONAL DANCE WORKSHOP
Asedeva 6766+XWQ ASEDEVA, Dar es Salaam, Dar es salaamMARAFIKI DANCE THEATRE LAB INAKULETEA WARSHA YA NGOMA ZA ASILI. Cc @marafikidancetheatrelab NJO UJIFUNZE NGOMA YA ASILI “BUNUNGULE” ITAFUNDISHWA NA KIKUNDI CHA KISESA B DANCE KUTOKA MWANZA. Warsha hii itanza itanza Tarehe: 7-15 Mei 2025 | Muda: 4:00 Asubuhi - 7:00 Mchana Mahali: ASEDEVA TANZANIA Jisajili sasa kuoitia tovuti ya ASEDEAVA info.asedeva@gmail.com au kupitia WhatsApp: +255 […]