STITCHING STORIES EXHIBITION
Bagamoyo BagamoyoBaada ya mafunzo ya sanaa ya ushonaji na simulizi kupitia program ya “Stiching Stories”/“Hadithi Zetu Ndani Ya Nyuzi”, wanufaika wa mradi huu wanaenda kufanya maonyesho ya bidhaa zao zilizobeba simulizi mbalimbali. Tunakukaribisha wewe kama mdau kua sehem ya safari hii kwa kununua kuponi yenye thamani ya Tzs 20,000/= au kulipia zaidi. Kununua kuponi hii kutakuwezesha […]