NGOMA NGOMA EDITION

Botanic Garden Migombani Botanic Garden, Migombani, Zanzibar

NGOMANGOMA EDITION 2 – USIKOSE!Tunayo furaha kubwa kukukaribisha kwenye msimu wa pili wa NGOMANGOMA! 🎶🔥 📅 Tarehe: 26/02/2025📍 Mahali: Bustani za Botanic ⏰ Muda: Kuanzia saa 9:00 alasiri Mwezi huu tunazamia kwenye Asili ya Ngoma ya Bom, mojawapo ya ngoma zinazotamba visiwani! 🥁🌍Njoo tuburudike, tuelimike, tupige na tucheze ngoma kwa uhuru! Hii ndio sehemu pekee […]