EXIM BIMA FESTIVAL!
Gymkhana Club Gymkhana Club, Dar es SalaamExim Bima Festival 2024 Bank ya Exim, ikishirikiana na wadau mbalimbali wa sekta ya Bima nchini,wanakuletea EXIM BIMA FESTIVAL 2024. Tukane viwanja vya Gymkhana, Jumamosi ya tarehe 28 mwezi huu kwenye Tamasha hii kubwa la aina yake. Njoo ushuhudie michuano ya mpira wamiguu kwa wanaume ambapo timu zitakazochuana ni pamoja na Bongo movie Fc, Wasafi […]
Free