INTERNATIONAL DANCE FESTIVAL

KIJIJI CHA MAKUMBUSHO Kijiji cha Makumbusho, Dar es Salaam, Dar es Salaam

EARLY BIRD TICKETS SALES ARE NOW OPEN - MAUZO YA TIKETI YA TAMASHA LA HABA NA HABA LA NGOMA ZA ASILI NA UTAMADUNI IPO WAZI SASA. Early Bird Tickets are Now Available at ASEDEVA office, ALLIANCE FRANCAISE, NAFASI ART SPACE AND FIREFLY BAGAMOYO. Cc @nafasiartspace @af_dar @asedeva_tanzania @fireflybagamoyo Secure your spot at the 5the edition of @marafikimusicfestival & 9th edition of @habanahaba_dance_festival together […]

Tsh10000 – Tsh20000

LOVE,UNIT AND CULTURE

KIJIJI CHA MAKUMBUSHO Kijiji cha Makumbusho, Dar es Salaam, Dar es Salaam

The Evergreen season is here! Are you excited as we are!?? You must be because you are part of this family “EvergreenAfroJazzFestivals” Wote Tukutane kijiji cha makumbusho Tarehe 3/08/2024 Kiingilio ni bure kabisaaaa.

Free

MARAFIKI MUSIC FESTIVAL – MUSIC FROM THE PEOPLE TO THE PEOPLE

KIJIJI CHA MAKUMBUSHO Kijiji cha Makumbusho, Dar es Salaam, Dar es Salaam

Tumefurahi sana kuona @marafikimusicfestival imewasili kwa sham sham, Yani uhakika wa burudani yenye uweredi na viwango vya juu muziki wa kiafrika umewasili. Burudani na sherehe za kufurahia muziki wa kiafrika na utamaduni wetu utafanyika pale kwenye viwanja vya kijiji cha makubusho mkabala na kitu cha busi cha makumbusho kuanzia tarehe 5,6,7 Oct 2023 na kisha kumalizikia bagamoyo […]

Tsh10000 – Tsh20000

BINTI SANAA INAWEZEKANA

KIJIJI CHA MAKUMBUSHO Kijiji cha Makumbusho, Dar es Salaam, Dar es Salaam

FURSA KWA WANAWAKE WENYE VIPAJI VYA MUZIKI (KUIMBA AU KUPIGA VIFAA) Mradi wa BINTI SANAA 'Inawezekana' una lengo la kunyanyua vipaji vya wanawake kwa kutoa mafunzo ya muziki bure na kuwaunganisha na fursa mbalimbali katika tasnia hii. Walengwa ni Wanawake wenye vipaji vya muziki ambao wanaishi Dar es salaam na Bagamoyo. Usahili/Audition kwa Dar es […]

Free