KOHATH MUSIC AUDITIONS

Kohath Music Kohath MUSIC HOUSE Kijitonyama, Dar Es Salaam

Kohath Music Inatoa nafasi ya Kujiunga na Kwaya Kubwa ambayo itaanza hivi karibuni hivyo kuna usaili maalum kwa waimbaji wenye vipaji pamoja na wapigaji wa vyombo vyote vya Music hivyo jiandikishe sasa kwaajili ya usahilu form iko kwenye BIO! Usaili utakuwa tarehe 24,25 na 26 na Utafanyika katika Studio za Kohath Kijitonyama! Kutakuwa na Majaji […]

Free

BONGO MUSIC AWARDS 2023

Kohath Music Kohath MUSIC HOUSE Kijitonyama, Dar Es Salaam

Tuzo za Bongo Music Awards ni Tuzo ambazo zinaandaliwa na Kampuni ya Millennium Stars Entertainment kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa Sanaa Nchini Tanzania. Lengo kuu la Tuzo za Bongo Music Awards ni kutoa hamasa na kupongeza kazi nzuri inayofanywa na Wasanii wa Tanzania katika kukuza Sanaa na muziki wa Tanzania kimataifa. Tuzo hizi zitakuwa […]

Tsh10000