TAMASHA LA MZIKI WA DANSI

Leaders Club grounds, Kinondoni Leaders Club grounds, Kinondoni, Dar es Salaam

Karibu kwenye tamasha la mziki wa Dansi likataloshirikisha bendi ya Twanga Pepeta @twangapepeta ,Bendi ya Msondo Ngoma @msondo_ngoma_ , Bendi  ya @fm.academia  litakalofanyika tarehe 1 Februari 2024 katika viwanja vya Leaders Club, kuanzia saa kumi na mbili jioni. Karibuni sana wote  

Free