WASAKATONGE CAKE FESTIVAL SEASON 2
LOST BEACH 192 Kanisani Rd, Dar es Salaam, Dar es SalaamHiii imeeendaaaaaa . 9 December 2023. Itaenda kuvunja record ya Dunia katika Jiji la Dar es salaam Location: lost Beach karibu na clouds media. Fursa kwa Bakery zote katika Jiji la Dar es salaam, wahi nafasi ya kufanya biashara katika Tamasha kubwa la kipekee la Kwanza Africa Mashariki na kati la Cake.
Tsh2000 – Tsh500000