KARAOKE BATTLE

Mi Casa Lounge Mi Casa Lounge, Tabata, Dar Es Salaam

KARIAKE BATTLE  SEASON 6 ! It's about time. Ni mchuano mkali wa Top Ten this Tuesday. Ungana nasi kila Jumanne kushuhudia mchuano huu wa wakali wa Karaoke kutoka kila pande ya Dar. Hosted by J Grande X Candy California Judges: Leon | Vee Jax | Tsuki Mi Casa || Tabata: 0713 63 00 33 Tuesday, […]

MUSIC CONCERT LIVE!

Mi Casa Lounge Mi Casa Lounge, Tabata, Dar Es Salaam

Jambo letu ni leo @micasalounge_tabata Producers na wadau wa muziki watakuwepo. Hii ni kuwapa wasanii wachanga nafasi ya kuonyesha vipaji vyao pamoja na uzoefu wa kufanya show. Mi Casa, Magengeni Street. Tabata. Reservations: 0713 53 00 33