SUSHI SPECIAL EXHIBITION

National Museum and House of Culture National Museum and House of Culture, Posta, Dar es Salaam

“I Love Sushi”, Maonesho Maalum ya Sushi kuanzia Septemba 20 mpaka Oktoba 10, 2025, kwenye Makumbusho ya Taifa ya Tanzania,Dar es salaam, 9:30 asubuhi mpaka 6:00 jioni kila siku. Fahamu uzuri wa sushi🍣, hazina ya Washoku iliyotokea zaidi ya miaka 1,000 iliyopita, sasa ikitambuliwa na UNESCO kama sehemu ya urithi wa kitamaduni wa Japan. Njoo […]