POP – UP MARKET

Rafikiz RAFIKIZ, Dar es Salaam, Dar es Salaam

Je wewe ni mfanya biashara na unatamani kuikuza biashara yako, kukutana na wateja wapya na kupata connection itakayosaidia biashara yako? Hii ni yakwako. Kwa 50,000 tuu unaweza ku-book space kwenye event yetu itakayofanyika tarehe 13 April siku ya Jumamosi pale Rafikizi, Mwai Kibaki Road @rafikiz_tz Kutakua na ofa kabambe na garage sale Una ngoja nini? Tupigie […]

Tsh50,000