MAMA’S DAY OUT BEACH PARTY

THE WAVE Africana, Kilonga Wima Area, Dar es Salaam

Karibuni Ladies katika event yetu ya pili ya MAMAS DAY OUT BEACH PARTY 2023 itakayonyika on the 14th October 2023 @thewaves_tz pale Mbezi Beach kuanzia 8:00AM mpaka 6:00PM jioni vyakula na vinywaji (non alcohol)vitakuwepo. Mara hii ni swala zima la Afya ya Akili kwa Wanawake walio kwenye AJIRA, WAFANYABIASHARA na WAMAMA WA NYUMBANI. Je, kuna utaratibu gani […]

Tsh100000