BOOK LAUNCH

TPH BOOKSHOP TPH BOOKSHOP, Dar es Salaam, Dar es salaam

Mamlaka, mapenzi, usaliti na kisasi. Jiunge nasi kwenye uzinduzi rasmi wa kitabu Sankara wa II cha @lubacha_the_author utakaofanyika TPH Bookshop, 24 Samora Avenue, kuanzia saa 10:30 jioni. Kitabu hiki kinaelezea safari ya Meja Jenerali (MJ) mwenye ndoto kubwa za mafanikio, lakini anazama katika giza la kisasi baada ya mapenzi kuvunjika na siri nzito kufichuka. Mahali: TPH Bookshop, […]