WEDDING VENDORS WORKSHOP & POP UP SHOP
Warehouse TZ Warehouse Masaki, Dar es Salaam, Dar es Salaam*Adorable Wedding Trade Fair* inakuletea Workshop kabambe kwa ajili yako wewe mtoa huduma za Sherehe nchini. Karibu sana ujifunze, uconnect na kutangaza biashara yako kwa ukubwa. Wewe ambae ni bibi/bwana harusi mtarajiwa karibu ukutane na watoa huduma wote sehemu moja na wakutimizie furaha ya harusi ya ndoto yako - Tarehe 14/10/2024 - Warehouse, Masaki - […]