CAKE PAINTING & SIP

Yami Food Restaurant Yami Food Restaurant, Dar es Salaam, Dar es Salaam

Umewahi kufikiria kuchora kwenye keki ki ubunifu huku una Sip vinywaji baridi au Wine nzuri? Ukafurahia Chakula kitamu, Games, Music na Network ya maana. Njoo kwenye Cake and Sip – tukio la ubunifu na furaha 📅 30 August 2025 📍 Yami Restaurant ⏰ Kuanzia Saa 5 asubuhi 📞 0759161785 | 0768323284 | 0776507648 Theme: Paint […]

Tsh.50,000