LIVE CONTEMPORARY DANCE
November 28 @ 7:30 pm - November 29 @ 7:30 pm
TSh.2000 β TSh.10000
Itβs that time again – Jukwaa Huru is lighting up the stage! ππ₯
Artists from TZ, Rwanda, NL & Switzerland are bringing the magic.
π Muda Kona | π’ 7:30pm
πΈ Pay as you vibe: 2k / 5k / 10k or more
Come through and feel the energy! ππΎπ₯πΊπΎ
β¨ Ni wakati wetu tena – Jukwaa Huru linawaka moto! ππ₯
Wasanii kutoka Tanzania, Rwanda, Uholanzi & Uswisi wanakuja na ubunifu mpya kabisa.
π Muda Kona | π’ Saa 1:30 jioni
πΈ Lipa kadri ya uwezavyo: 2k / 5k / 10k au zaidi
Karibu uje kupata vibe na nguvu za jukwaa! ππΎπ₯πΊπΎ