MOLIERE TWICE PERFORMANCE
Muda Kona Muda Kona, Dar es Salaam, Dar es SalaamMolière akiwa mswahili, matokeo yake ni nini? 😄 Njoo ushuhudie Molière Mara Mbili - tamthilia mbili za vichekesho zikichezwa kwa mara ya kwanza kwa Kiswahili Dar es Salaam! 🎭 Zinaigizwa na wachezaji wa Muda Africa 🎬 Zimeongozwa na Ian Mwaisunga na Jorn Heijdenrijk 📅 Alhamisi, 10 Septemba 2026 🕢 Saa 1:30 usiku 📍 Muda Kona […]
Free