POETRY NIGHT!!
May 29 @ 6:00 pm

CDEA in collaboration with SautiTek (@sautitek) & MentifyTz (@mentifytz) invites you to a night of poetry and heartfelt tributes themed “An Open Letter to My Mother”.
Join us on 29th May 2026 from 6:00 PM at Eco Sanaa Hub, Mbezi Beach for an evening of spoken word, storytelling and shared emotions.
For the words we never said, across the many layers of the mother–child relationship…
Scan the QR code to register.
Limited seats available.
____________________________________________________________
CDEA kwa kushirikiana na SautiTek pamoja na MentifyTz wanakualika kwenye usiku wa mashairi na simulizi zenye hisia, unaobeba ujumbe “Barua ya Wazi kwa Mama Yangu”
Jiunge nasi tarehe 29 Mei 2026 kuanzia saa 12 jioni Eco Sanaa Hub, Mbezi Beach.
Kwa maneno ambayo hatukuwahi kusema… katika sura mbalimbali za uhusiano wa mama na mtoto.
Scan QR code kujisajili.
Nafasi ni chache.
#cdeatz #poetrynight #tributes #creativeexpression #healingjourney