USIKU WA MSHAIRI MSWAHILI- NGUMU KUMEZA!!
ECO SANAA HUB Eco sanaa hub, Dar essalaamJiunge nasi katika Usiku wa Mshairi Mswahili tukichambua simulizi za maisha, mapambano, matumaini na ushindi kupitia mashairi ya Kiswahili. 🗓 Julai 10 ⏰ Saa 12 Jioni 📍 Eco Sanaa Terrace, CDEA – Mbezi Shule 🎟️ Vaa Kiswahili Kamata Kipaza 📞 +255 674 317 482 Weka nafasi yako Sasa: https://forms.gle/kWwWEYfGw9QoELmG9 (Link iko kwenye Bio) "Wakati mwingine […]