COLOR FESTIVAL
June 27 @ 11:00 am - 7:00 pm
Tsh.15000 – Tsh.30000
Tamasha la Tonymax Park Color festival linafanyika tarehe 27 Juni 2026, na sasa tunafungua rasmi nafasi za vendors! ✨
📌 Aina za Vendors ni pamoja na:
• Uchoraji wa Uso na Sanaa ya Mwili 🎨
• Upigaji Picha na 360 Video Booths 📸
• Mavazi ya Mitindo, Mavazi ya Tamasha na Vifaa 👕🕶️
• Urembo, Vipodozi na Bidhaa za Afya 💄🌿
• Michezo, Burudani Shirikishi na Kona ya Watoto 🎮🧸
• Sanaa na Bidhaa za Kubuniwa Maalum 🎨🧢
Usikose kuwa sehemu ya tukio lenye rangi na furaha zaidi msimu huu. Tushirikiane kufanya tamasha hili lisahaulike! 💥
📍 Tonymax Park, Kigamboni Mwembe Mdogo
Nafasi ni chache! Hakikisha unahifadhi booth yako mapema kwa