COLOR FESTIVAL

Tonymax Park Tonymax Park, Dar es Salaam

Tamasha la Tonymax Park Color festival linafanyika tarehe 27 Juni 2026, na sasa tunafungua rasmi nafasi za vendors! ✨ 📌 Aina za Vendors ni pamoja na: • Uchoraji wa Uso na Sanaa ya Mwili 🎨 • Upigaji Picha na 360 Video Booths 📸 • Mavazi ya Mitindo, Mavazi ya Tamasha na Vifaa 👕🕶️ • Urembo, […]

Tsh.15000 – Tsh.30000