Loading Events

  • This event has passed.

MAONYESHO YA KUVUTIA YA NDOTO YA KALISTA

September 16, 2023 @ 6:00 pm

Free

Venue

NAFASI ART SPACE
Nafasi Art Space, Dar es salaam
Dar Es Salaam, Tanzania, United Republic of
+ Google Map
Phone:
0757820426
View Venue Website

Organizer

OLA TASTY TALES
Phone:
0659185909
Email:
oladelicioustz@gmail.com

Details

Date:
September 16, 2023
Time:
6:00 pm
Cost:
Free
Event Category:

Other

Area(Town/City)
Dar es Salaam

Umeshawahi kuwaza kua kuna sanaa kwenye utengenezaji wa keki, na inaweza kutumika kama sanaa zingine kufikisha ujumbe kwa jamii?Well jibu ni ndio na karibu ujionee kwa jinsi gani yanawezekana hayo.

Hapa tunaenda kutumia sanaa ya keki kuelezea ndoto na simulizi za maisha ya single mothers ambao wamekua wanufaika wa mradi huu.
Mabinti hawa na wengine wengi tu kwenye jamii yetu,wana ndoto ambazo kwa namna moja au nyingine wanakua wamezikatia tamaa kutokana na changamoto mbali mbali wanazopitia kama wamama (young single mothers). Na kwa asilimia kubwa wamekua wakikosa msaada sio tu kifedha bali hata wa maarifa na ushauri mzuri wa jinsi ya kuendelea na maisha yao.
Karibu uwe pia mmoja wa sisi kwenye safari hii ya kujibeba na kujikwamua.

Karibuni sana maonyesho haya ni bure, yatafanyika tarehe 16 sept 23 kwenye kituo cha sanaa kitwacho @nafasiartspace .
Shot by @pichatime
Graphics and sound @jailos_ms

Mradi huu umedhaminiwa kupitia dawati ya FEEL FREE grant 2023 kwa udhamini wa @norwayintz na @swissdevcoop
#NdotoYaKalista #sculptyourdream