lete stori
NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es SalaamWashairi na wanamuziki mpo!!! 🎤✨ Mwezi huu kwenye Lete Stori tunawaletea wasanii wawili mahiri—wenye upekee mkubwa katika utunzi na namna wanavyocheza na maneno hadi kuyafanya yawe na ladha tamu ya kufurahia. Tutaanza mapema saa 12 jioni 📅 Tarehe: 17 📍 Mikovheni B eyasi road Nafasi Art Space Mziki mzuri kitoka kwa @koalamuziki na safari yake pia mashairi […]
Free