- This event has passed.
A NIGHT OF POETRY MAGIC AND LIVE MUSIC
March 2, 2024 @ 6:00 pm - 10:00 pm
Tsh15000“Anaitwa RIPE SWAHEEL, Mtunzi na muimbaji wa mashahiri nae atakuwepo kwenye Usiku wa A Night Of Poetry magic and live music march 02 , 2024 @nafasiartspace ,Imeandaliwa na @spectrum_tz Na @manyasimedia .
Kiingilio ni Tsh.15,000/- tu getini
Sehemu ya kupata tiketi
1. Sinza – Powaful products – +255 762 177 073
2. Skycity – Spectrumtz – +255 756 237 783
3. UDSM – Rais wa wanafunzi – +255 733 289 005