A STAGEPLAY & STAND-UP COMEDY
November 22 @ 6:00 pm - 10:00 pm
Free
Karibu kwenye uzinduzi wa klabu ya 𝑲𝒖𝒍𝒊𝒌𝒐𝒏𝒊!
Klabu pekee ya wasanii wanaofanya maigizo ya jukwaani (stage play) na stand-up comedy, wasanii awa watatuburudisha kwenye jukwaa maalumu lililonakshiwa kwa ajili ya sanaa hizi mbili huku pia kukiwa na suprise kibao.🕺💃
Tukutane
🗓️ Jumamosi 22/11/2025
🕒 12:00 JIONI – 4:00 USIKU
📍 Kituo cha Muda Africa
(Muda kona) Kijitonyama, Dar ea salaam.
📞 +255 718 889 982
🎟 HAKUNA KIINGILIO
🕺💃Come have fun and get connected.
#kulikoni! ##swissdevcoop #swissembassytz #norwayintz #nafasiartspace #switzerlandembassytz🇨🇭 #norwayembassydar🇳🇴 #basatatanzania #CreativeCommunity #tukutanenafasiartspace #collaboration #partnership #uswaziborntalents #feelfreetz #comedy #comedycentral #comedytanzania🇹🇿 #cheka #bongomovie #𝑲𝒖𝒍𝒊𝒌𝒐𝒏𝒊!