- This event has passed.
ART EXHIBITON – FROM KIBUBU UFINYANZI & FAHARI YETU TANZANIA
January 27, 2024 @ 6:00 pm
FreeNew Exhibition in Dar es Laam
“Endengered Stories of Enchated Place”
Wadau wetu wa Dar es laam, tutumie fursa hii kuwakaribisha katika maonesho yetu ya Masimulizi ya kutisha na Kusisimua yatakayofanyika Mikocheni B ofisi za Nafasi Art Space Siku ya Jumamosi tarehe 27 Jan 2024.
Hakuna kiingilio yani ni bureee kabisa, muda ni kuanzia saa 12:00 jioni kwa saa za Afrika mashariki.