- This event has passed.
BEADED JEWELRY WORKSHOP
August 21, 2024 @ 12:00 am
FreeNafasi Art Space pamoja na Nipa foundation imekuandalia warsha ya kutengeneza vito(urembo) kwa kutumia shanga (beads) za asili
Tar 5 -7 / 9 / 2024 kwa TZ’s 50,000 kwa siku zote 3
Muda : 3pm – 6pm
NB: Nyenzo (materials) za kujifunzia zitatolewa bure
👉🏻link ya kujiandikisha
https://docs.google.com/forms/d/e/1FAIpQLSeOYGsmK2FfyaA1w7x9AfCWHwAp35TkHkRynkLvet8bTiRJ5w/viewform?usp=pp_url
Kwa kujiunga utasaidia kutoa sapoti kwa Wasanii wetu na Nipa Foundation