WIKIEND LIVE 2026

Nafasi Art Space Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Upo Live!!! Wikiendi Live inagonga hodi! Karibu Nafasi Art Space tarehe 25–26 Septemba kwa siku mbili za kusherehekea sanaa, ubunifu na burudani kwa kila mtu. Kuanzia shughuli na michezo ya watoto, maonesho ya sanaa, hadi muziki mzuri wa moja kwa moja—kutakuwa na kitu cha kufurahia kwa wewe, marafiki zako na familia. Ratiba kamili pamoja na […]