- This event has passed.
BINTI SANAA SHOWCASE
November 17, 2023 @ 7:00 pm
FreeBINTI SANAA SHOWCASE
Ijumaa – 17 Novemba, 2023
@ Nafasi Art Space – Mikocheni
Muda: Kuanzia 1.00 usiku
Uzinduzi wa Binti Sanaa Band (bendi mpya inayoundwa na Mabinti wenye vipaji vya hali ya juu).
+ Onesho la Bahati Female Band
& Suprise kibao
Uundwaji wa Binti Sanaa Band ni matokeo ya Mradi wa BINTI SANAA ‘Inawezekana’ unaotekelezwa na Bahati Female Band @bahatifemaleband kupitia Feel Free Fund inayotolewa na kusimamiwa na Nafasi Art Space @nafasiartspace kwa ufadhili wa ubalozi wa Uswizz @swissdevcoop na Ubalozi wa Norway