Loading Events

  • This event has passed.

“Ethereal Encounters” – OPEN CALL

May 30, 2024

Free

Organizer

NAFASI ART SPACE
Phone:
+255 (0) 757 820 426
Email:
info@nafasiartspace.org
View Organizer Website

Details

Date:
May 30, 2024
Cost:
Free
Event Category:

Other

Area(Town/City)
Dar - es - Salaam

“Ethereal Encounters” ni maonyesho ambayo yanaonyesha jinsi upigaji picha nyeusi na nyeupe unaweza kuwa na nguvu na mzuri. Wapiga picha hunasa matukio maalum, mara nyingi yasiyotarajiwa ambayo huleta muoneka wamaajabu – kama vile mwanga wa jua unavyopiga kwenye jani, utulivu wa jengo lisilo na kitu, au mtu aliyesimama peke yake katika eneo kubwa. Picha hizi zinalenga kuwafanya watazamaji wafikiri kwa kina na kuhisi mshangao. Kwa kuzingatia mwanga, kivuli, na texture, picha hufunua uzuri uliofichwa na kiini cha uzoefu wa binadamu bila kuvurugwa na rangi. Unaweza jiunga kwa kupitia link ipo kwenye bio.

*****************************************
“Ethereal Encounters” is an exhibition that shows how powerful and beautiful black and white photography can be. The photographers capture special, often unexpected moments that feel almost magical – like the way sunlight hits a leaf, the quietness of an empty building, or a person standing alone in a vast landscape. These photos aim to make viewers think deeply and feel a sense of wonder. By focusing on light, shadow, and texture, the images reveal hidden beauty and the essence of human experience without the distraction of color. You may sign up through the link on LinkTree on our bio.