
- This event has passed.
MAONYESHO YA KUVUTIA YA NDOTO YA KALISTA
September 16, 2023 @ 6:00 pm
Free
Umeshawahi kuwaza kua kuna sanaa kwenye utengenezaji wa keki, na inaweza kutumika kama sanaa zingine kufikisha ujumbe kwa jamii?Well jibu ni ndio na karibu ujionee kwa jinsi gani yanawezekana hayo.
Hapa tunaenda kutumia sanaa ya keki kuelezea ndoto na simulizi za maisha ya single mothers ambao wamekua wanufaika wa mradi huu.
Mabinti hawa na wengine wengi tu kwenye jamii yetu,wana ndoto ambazo kwa namna moja au nyingine wanakua wamezikatia tamaa kutokana na changamoto mbali mbali wanazopitia kama wamama (young single mothers). Na kwa asilimia kubwa wamekua wakikosa msaada sio tu kifedha bali hata wa maarifa na ushauri mzuri wa jinsi ya kuendelea na maisha yao.
Karibu uwe pia mmoja wa sisi kwenye safari hii ya kujibeba na kujikwamua.
Karibuni sana maonyesho haya ni bure, yatafanyika tarehe 16 sept 23 kwenye kituo cha sanaa kitwacho @nafasiartspace .
Shot by @pichatime
Graphics and sound @jailos_ms
Mradi huu umedhaminiwa kupitia dawati ya FEEL FREE grant 2023 kwa udhamini wa @norwayintz na @swissdevcoop
#NdotoYaKalista #sculptyourdream