Loading Events

  • This event has passed.

OPEN CALL – POERTY WORKSHOP

June 30

Free

Organizer

NAFASI ART SPACE
Phone:
+255 (0) 757 820 426
Email:
info@nafasiartspace.org
View Organizer Website

Details

Date:
June 30
Cost:
Free
Event Category:

Other

Area(Town/City)
Dar es Salaam

Washairi, wasanii na wadau wote wa sanaa ya Ushairi Nafasi Art Space kwa kupitia msanii wetu wa makazi ya muda mfupi cameroon Mitchell kutoka Marekani huyu msanii amaefanya kazi na makampuni makubwa huko marekani hakika ujuzi na umahiri wake sio wakukosa.

Jiunge na warsha ya ushairi kwa kujaza form inayopatikana kwenye LinkTree hapo juu kwenye Bio.
Kwa maelezo zaidi unaweza piga simu au kutumia ujumbe.

Siku ya mwisho ya kujisajili ni tarehe 30/06/2024

3 -4/July/2024
11am
Nafasi Art Space

****************************************************
Poets, artists, and all stakeholders of the art of poetry, Nafasi Art Space invites you to join us in welcoming our short-term resident artist, Mitchel from Cameroon, who is currently based in the United States. This artist has worked with major companies in the U.S., and his skill and expertise are not to be missed.

Apply for the workshop on poetry by filling the form on our LinkTree that is on our bio.
Any further inquiry please contact us with the number on the bio.

Last day of application is 30/06/2024

3rd -4th/July/2024
11am
Nafasi Art Space