OPENING NIGHT PERFOMANCE DANCE
June 24 @ 7:00 pm

The Countdown to ZIFF 2026 Begins! ๐
Join us for the Opening Ceremony of ZIFF 2026, a vibrant celebration marking the start of one of East Africaโs biggest festivals of film, culture, and creativity.
To make the night even more special, Malaika Tarumbeta Band will take the stage with an energetic live performance, bringing rhythm, excitement, and unforgettable vibes to the celebration.
๐
24 June 2026
โฐ 7:00 PM
๐ Kariakoo Amusement Park
Come celebrate the opening of ZIFF with us as we gather through music, film, and culture. This is where the festival journey begins!
==========================================================================================
๐ Safari ya ZIFF 2026 Yaianza Rasmi! ๐
Jiunge nasi katika Sherehe ya Ufunguzi wa ZIFF 2026, usiku maalum wa kusherehekea mwanzo wa moja ya tamasha kubwa zaidi za filamu, utamaduni na ubunifu Afrika Mashariki.
Kama sehemu ya sherehe hizo, Malaika Tarumbeta Band watatoa burudani ya moja kwa moja yenye nguvu, midundo na shamrashamra zitakazowasha usiku wa ufunguzi.
๐
24 Juni 2026
โฐ Saa 1:00 Usiku
๐ Kariakoo Amusement Park
Njoo tusherehekee pamoja mwanzo wa ZIFF 2026 kupitia muziki, filamu na utamaduni. Hapa ndipo safari ya tamasha inaanza!