
SET DESIGN WORKSHOP
July 24 @ 9:00 am - July 25 @ 4:00 pm

Karibu kwenye warsha ya siku mbili ya Ubunifu wa Mandhari (Set Design)!
Utajifunza:
🎬 Umuhimu wa mandhari kwenye filamu
🎬 Jinsi ya kuunda mandhari inayolingana na muswada
🎬 Matumizi ya vitu vya kawaida (props) kuboresha mandhari yako
Na mambo mengine mengi…..
Tarehe: 24-25 Julai
Mahali: Nafasi Art Space, Mikocheni
Muda: Saa 3 asubuhi – 10 jioni
Hii si yakukosa, njoo tujifunze pamoja!.
@studio19tz @nafasiartsspace @ajabuajabu @Cdeatz @taiplustz @simulizifestival @af_dar @19_rentals @mydocubox @tanzania_film_board @goethetanzania @kijiweniproduction @tanzaniafilmfederation_taff @afriroots @tasa_taifa