DHAHABU FRIDAY
Nafasi Art Space Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es SalaamDhahabu Friday imerudi! ✨ Karibu Nafasi Art Space kwa usiku wa mziki wa kizamani na kisasa, tukihitimisha mwezi huu mrefu na kuukaribisha mwezi mpya kwa mtindo wa kisanii. 📅 Ijumaa, tarehe 30 Januari 🕕 Kuanzia saa 12 jioni hadi usiku wa manane 📍 Nafasi Art Space Tarajia muziki mzuri, nyama choma tamu na mengine mengi. […]