Loading Events

  • This event has passed.

WITO KWA WASANII

August 10, 2024

Free

Details

Date:
August 10, 2024
Cost:
Free
Event Category:

Other

Area(Town/City)
Dar es Salaam

FEEL FREE TO SING FREE ( Wimbo huru imba kwa uhuru)
ASEDEVA inakuletea mradi wa WARSHA ya mafunzo ya sauti na stage performance kwa wiki 3 Dar es salam kutoka kwa mwalimu wa kimataifa wa sauti JOETT.

Mafunzo haya yatatolewa kwa WANAWAKE TUU kutoka katika mikoa ya DAR ES SALAAM, ARUSHA MWANZA, ZANZIBAR , MOROGORO NA MTWARA.

Waombaji wanatakiwa kutuma sauti zao wakiwa wanaimba kwa voice Recording ya dakika zisizodi 3 na zisizopungua 2, picha 2 zenye ubora, na wasifu wake.

Maombi yote yatumwe kwa email [email protected] wakiambatanisha na jina kamili la msanii, umri, na mkoa anaotoka.

Sifa za muombaji, awe ni mwanamke kuanzia umri wa miaka 18, awe anatoka moja kati ya mikoa sita iliyoorodheshwa, awe na uwezo wa kuimba (mwenye uwezo wa kupiga ala ya muziki atapewa kipaumbele) , awe ana uwezo wa kusafiri na kukaa kambi kwa wiki 3 dar es salaam

Mwisho wa kutuma na kupokelewa kwa maombi hayo ni tarehe 10 August 2024