AI & LITERATURE
Alliance Française de Dar Alliance Francaise, Dar es Salaam, Dar Es SalaamAkili Mnemba inaandika vitabu. Akili Mnemba inasimulia hadithi. Je, inaweza kubuni? Katika Kalam Salaam hii, tutajadili jinsi Akili Mnemba inavyoathiri fasihi—Je, ni hatima ya usimulizi wa hadithi au ni mwelekeo wa muda tu? Jiunge nasi kwa mjadala wa moja kwa moja na Akili Mnemba! Hii ni sehemu ya FEF CREATION AFRICA TANZANIA. Tunawashukuru Ubalozi wa […]