KIPAZA HURU
Alliance Française de Dar Alliance Francaise, Dar es Salaam, Dar Es SalaamSherehekea utamaduni wa Kiswahili kwa mchanganyiko wa mashairi, muziki, dansi, na zaidi! Jiunge nasi kwa sherehe ya mwisho wa mwaka na usiku wa kipaza huru wa kipekee! Jifunze jinsi sanaa mbalimbali zinavyochangia na kuimarisha mila na desturi zetu. Scan namba ya QR kujiandikisha kushiriki Kipaza Huru kabla ya Jumatano, Desemba 4, 2024. Hii ni sehemu […]