HABANAHABA DANCE EXTRA
ASEDEVA ASEDEVA, Dar es Salaam, Dar Es SalaamHabari wapendwa katika Dance Kwa mara nyingine tena Tunawakaribisha. ASEDEVA TANZANIA Kinondoni manyanya, Ikungi street. Kwenye Event yetu Pendwa ya HABA NA HABA EXTRA Tarehe 18:08:2023 Kuanzia saa2:00 usiku. Kiingilio mlangoni ni 5000/= tsh. Mwambie rafiki yako awaambie Marafiki zake tukutane sote, Hi si ya kukosa wapendwa wa burudani za jukwaani.