HABA NA HABA INTERNATIONAL DANCE FESTIVAL 2023

National Museum and House of Culture National Museum and House of Culture, Dar es Salaam, Dar Es Salaam

Haba na Haba international Dance Festival 2023 katika msimu huu wa saba, tumedhamiria kukupa elimu, burudani na ubunifu wa sanaa za miondoko za uhakika ambapo ngoma za asili na za kisasa zitafanywa na wasanii mbalimbali kutoka ndani na nje ya Tanzania. Cc Photo by Val Adamson • Nunua tiketi yako sasa usije kukosa. Eneo ni: […]

Tsh5000 – Tsh10000

MARAFIKI NIGHT LIVE

ASEDEVA ASEDEVA, Dar es Salaam, Dar Es Salaam

Ni MARAFIKI NIGHT LIVE inawaleta kwenu @sammyjohn_tz and the Band pamoja na @3g_singeliband Jambo Litahappen Friday 4 AUGUST 2023 Location: ASEDEVA Kinondoni Manyanya Muda: Kuanzia 2:00 Usiku Kiingilio: 10k Chakula  na Vinywaji Vinapatikana kwa Bei Nafuu Ukipata hii Siri usikaenayo,Mwambie mwenzio amwambie na mwenzake kwamba hili sio Jambo la Kukosa

Tsh10000

HABANAHABA DANCE EXTRA

ASEDEVA ASEDEVA, Dar es Salaam, Dar Es Salaam

Habari wapendwa katika Dance Kwa mara nyingine tena Tunawakaribisha. ASEDEVA TANZANIA Kinondoni manyanya, Ikungi street. Kwenye Event yetu Pendwa ya HABA NA HABA EXTRA Tarehe 18:08:2023 Kuanzia saa2:00 usiku. Kiingilio mlangoni ni 5000/= tsh. Mwambie rafiki yako awaambie Marafiki zake tukutane sote, Hi si ya kukosa wapendwa wa burudani za jukwaani.

Tsh5000

MARAFIKI NIGHT LIVE BURUDANI YA UHAKIKA

ASEDEVA ASEDEVA, Dar es Salaam, Dar Es Salaam

MARAFIKI NIGHT LIVE BURUDANI YA UHAKIKA Cc @marafikinightlive ABENEKO & THE POSITIVE MIND baada ya kumaliza Tour yao ya ulaya sasa watapiga kwenye MARAFIKI NIGHT LIVE💃🏾🕺🏾 Wengine watakao panda jukwaani ni MSWANU GOGO VIBES Jamani msipange kukosa Safari hii @marafikinightlive itakuwa siku ya ALHAMIS TAREHE 14| 09| 2023 Mahali: ASEDEVA Kinondoni Manyanya Muda: Kuanzia Saa 2 Usiku Kiingilio: […]

Tsh10000

MARAFIKI MUSIC FESTIVAL – MUSIC FROM THE PEOPLE TO THE PEOPLE

KIJIJI CHA MAKUMBUSHO Kijiji cha Makumbusho, Dar es Salaam, Dar es Salaam

Tumefurahi sana kuona @marafikimusicfestival imewasili kwa sham sham, Yani uhakika wa burudani yenye uweredi na viwango vya juu muziki wa kiafrika umewasili. Burudani na sherehe za kufurahia muziki wa kiafrika na utamaduni wetu utafanyika pale kwenye viwanja vya kijiji cha makubusho mkabala na kitu cha busi cha makumbusho kuanzia tarehe 5,6,7 Oct 2023 na kisha kumalizikia bagamoyo […]

Tsh10000 – Tsh20000

MARAFIKI NIGHT LIVE

ASEDEVA ASEDEVA, Dar es Salaam, Dar Es Salaam

@marafikinightlive ni sehemu ya burudani za uhakika, Awamu hii tunawaletea msanii Ken Tiga @Ken_tiga kutoka Bagamoyo💃🏾🕺🏾 Pamoja na Serebuka Orchestra ni band inayoundwa na wasanii tofauti tofauti kutoka kwenye Serebuka Orchestra Workshop, mambo yatakuwa mukide burudani kwenda mbele Mahali: ASEDEVA Kinondoni Manyanya Cc @asedeva_tanzania @marafikimusicfestival Tarehe 08/12/2023 Muda: Kuanzia Saa 2 Usiku Kiingilio: 10k Chakula  na Vinywaji   Vinapatikana kwa bei […]

Tsh10000

VUNJA BEATZ BATTLE

ASEDEVA ASEDEVA, Dar es Salaam, Dar Es Salaam

TAARIFA *VUNJA BEATZ BATTLE * BREAKING BATTLES & DJ CYPHER - 15 DEC 2023, ASEDEVA VIPAJI CHIPUKIZI BATTLE  ~kwa wale wanaopenda breaking, lakini hawajawahi kushiriki au wana uzoefu mdogo wa kushiriki kwenye mashindano ya breaking (battles). Mshindi: 30.000 TZS Mshindi wa pili: 15.000TZS WAKONGWE WAKALI BATTLE ~ kwa wazoefu wa kushiriki kwenye mashindano ya breaking […]

Free

MARAFIKI NIGHT LIVE

ASEDEVA ASEDEVA, Dar es Salaam, Dar Es Salaam

RDJ KWARO ni Dj Machachari sana mtu mbadi Hana mbamba kwenye maeneo yake yakujidai atashusha ngoma za kibabe sana Tarehe 02| 02| 2024 BURUDANI YA UHAKIKA @marafikinightlive Mahali: ASEDEVA Kinondoni Manyanya Muda: Kuanzia Saa 2 Usiku Kiingilio: 10k Chakula  na Vinywaji  Vinapatikana kwa bei nafuu.

Tsh10000

HABA NA HABA – CALL FOR ARTISTS 2024

APPLY NOW - UNTIL 20 FEB 2024. Open Call for artists to participate on the coming edition of the Haba na Haba Dance Festival come together and at the same period with Marafiki Music Festival in Dar es Salaam and Bagamoyo, Tanzania on 3,4,5,6 Oct 2024. Submit your application with your biography, dance performance video […]

MARAFIKI MUSIC FESTIVAL – CALL FOR ARTISTS 2024

APPLY NOW - UNTIL 20 FEB 2024. Open Call for artists to participate on the coming edition of the Haba na Haba Dance Festival come together and at the same period with Marafiki Music Festival in Dar es Salaam and Bagamoyo, Tanzania on 3,4,5,6 Oct 2024. Submit your application with your biography, dance performance video […]

HABA NA HABA DANCE EXTRA

ASEDEVA ASEDEVA, Dar es Salaam, Dar Es Salaam

atch live @ddi_dancers at HABA NA HABA DANCE EXTRA on 1st March 2024, 8:00PM at @asedeva_tanzania entrance 10,000/. The program features dance screen video, dance performances and dance battles live and direct at ASEDEVA. Stay tuned for more to be announced in the program. • Usikose kuwaona vijana machachali wa DDI live kwenye program ijayo […]

Tsh10000

WITO KWA WASANII

FEEL FREE TO SING FREE ( Wimbo huru imba kwa uhuru) ASEDEVA inakuletea mradi wa WARSHA ya mafunzo ya sauti na stage performance kwa wiki 3 Dar es salam kutoka kwa mwalimu wa kimataifa wa sauti JOETT. Mafunzo haya yatatolewa kwa WANAWAKE TUU kutoka katika mikoa ya DAR ES SALAAM, ARUSHA MWANZA, ZANZIBAR , MOROGORO […]

Free