STORY IN PLAY
Alliance Française de Dar Alliance Francaise, Dar es Salaam, Dar Es SalaamKalam Salaam] Jiunge nasi katika Kalam Salaam ya kipekee ambapo tutajadili na kucheza Bongopoly—mchezo wa kwanza wa bodi kwa Kiswahili unaochanganya maarifa, burudani na utamaduni wa Kitanzania. Mwezeshaji wetu ataeleza asili ya mchezo huu, maudhui yake, na namna unavyochezwa—na zaidi ya hapo, utapata fursa ya kuushiriki moja kwa moja! Ikiwa unapenda michezo, fasihi, au unapenda […]