MARAFIKI ARTS FESTIVAL
Alliance Française de Dar Alliance Francaise, Dar es Salaam, Dar Es SalaamTarehe 19 November 2025 tutakuwa na Marafiki Extra, live watakuwepo wakali wa Afro fusion @shabo_makota & the band na pia watakuwepo @t_africa_dance wakali wa African modern dance pale Ukumbi @af_dar Upanga. Hakuna Kingilio, KARIBUNI WOTE. Tiketi za bahati zitauswa na mshindi kutangaswa siku hiyo hiyo. Tumefurahi sana kuona @marafikiartsfestival imewasili kwa sham sham, Yani uhakika wa burudani yenye uweredi na viwango vya juu […]