DRAWING FROM LIFE- ART WORKSHOP

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Karibu kwenye warsha ya kipekee ya uchoraji @nafasiartspace! Njoo ujifunze, uconnect na usherehekee sanaa pamoja na wasanii wenzako 🧑🏾‍🎨👩🏽‍🎨 Warsha hii itakuwa ikiongozwa na Vincent Temu ( @vensa_temu ) katika toleo la pili la “Drawing from Life” ✏️🖼️ 🗓️ Jumanne | 12 Agosti 2025 ⏰ Saa 8 mchana hadi saa 11 jioni 📍 Nafasi Art Space Usikose nafasi […]

Free

BONGO FLAVA MUSIC-JUMA NATURE

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Tunajivunia na kufurahi kwa dhati kumkaribisha @sir_nature gwiji wa Bongo Flava na rap ya Kiswahili – kuja kubless jukwaa la Lete Stori mwezi huu hapa Nafasi Art Space! 🏠🔥 🗓 Tarehe: 23 Agosti 2025 ⏰ Saa: Kuanzia saa 1 jioni mpaka kuendelea 🎟 Kiingilio: BURE Njoo ushuhudie mazungumzo ya kipekee kuhusu historia yake ya muziki, kutoka […]

Free