ARTIST HANGOUT FT CAMERON MITCHELL
NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es SalaamJiunge nasi kwa hangout maalum na Cameron L. Mitchell hapa Nafasi Art Space! Hii ni fursa nzuri ya kukutana na msanii, kupiga naye story, na kupata msukumo kutoka kwa safari yake ya ubunifu. Usikose nafasi hii ya kipekee ya kuungana na Cameron. Tukutane hapo! ************************************************** Join us for a special hangout with Cameron L. Mitchell […]