ARTIST HANGOUT

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Come hangout with our Artist In Residence Inioluwa Aderibigbe @iamthatis_gandalfย where he is going to talk about his work and you can ask him all about it, know more on his workshop and showcase. Hosted on! ๐Ÿ“ Date: 10 October 2025 ๐Ÿ•™ Time: 4PM โ€“ 6PM ๐Ÿ“ Venue: Nafasi Art Space

Free

CALL FOR ARTISTS

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

TUKUTANE DAR 2025 โ€“ Cross-Border Collaborations for the Growth of the Arts Sector ๐Ÿ“ Dar es Salaam | ๐Ÿ“… 3โ€“9 November 2025 Open call for artists aged 18 to 30 years! Be part of TUKUTANE DAR Arts Week and showcase your creative work. Up to 6 artists will be awarded production/presentation grants of up to […]

DYEING WITH NATURAL PIGMENTS SHOWCASE

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

After her residency at Nafasi Art Space, our artist Martina Gonzalez @martina.archived invites you to her final showcase on Thursday, 9th October at 6PM here at Nafasi Art Space. ๐ŸŽŸ Free Entry | ๐Ÿด Snacks available Come celebrate art with us! โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€”โ€” Baada ya kukaa kwenye makazi ya muda hapa Nafasi Art Space, msanii wetu […]

Free

DHAHABU FRIDAY

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Karibu Dhahabu Friday! Tukio la kipekee likiongozwa na (@john_kitime), likikuletea raha ya muziki wa zamani kutoka kila kona ya dunia! ๐ŸŒ๐ŸŽท๐ŸŽธ Na safari hii, DJ Seche (@dj__seche)atakuwa nasi kuhakikisha burudani haikomi! ๐ŸŽง๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ•บ๐Ÿพ๐Ÿ’ƒ๐Ÿพ Furahia Rhumba, Chacha, Reggae, Kavasha, Blues, Country na zaidi! ๐ŸŽค Usiku pia utapambwa na Karaoke Night pamoja na michezo mbalimbali ya kufurahisha! […]

Free

BONGO FLAVA MUSIC-JUMA NATURE

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Tunajivunia na kufurahi kwa dhati kumkaribisha @sir_natureย gwiji wa Bongo Flava na rap ya Kiswahili โ€“ kuja kubless jukwaa la Lete Stori mwezi huu hapa Nafasi Art Space! ๐Ÿ ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ—“ Tarehe: 23 Agosti 2025 โฐ Saa: Kuanzia saa 1 jioni mpaka kuendelea ๐ŸŽŸ Kiingilio: BURE Njoo ushuhudie mazungumzo ya kipekee kuhusu historia yake ya muziki, kutoka […]

Free

ARTIST TALK- GRASSROOT COMICS

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Fahamu Kuhusu Komikijamii: Njia Mpya ya Mawasiliano Mwasilishaji:: Nathan Mpangala ( @nathanmpangala ) Tarehe: Alhamisi, 14 Agosti 2025 Muda: Saa 9:00 alasiri โ€“ 11:00 jioni Eneo: Nafasi Art Space, Mikocheni, Dar es Salaam Karibu katika mazungumzo ya wazi yatakayoongozwa na msanii maarufu wa Kitanzania, Nathan Mpangala, atakapotambulisha Komikijamii - njia mpaya kabisa ya mawasiliano ngazi […]

Free

DRAWING FROM LIFE- ART WORKSHOP

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Karibu kwenye warsha ya kipekee ya uchorajiย @nafasiartspace! Njoo ujifunze, uconnect na usherehekee sanaa pamoja na wasanii wenzako ๐Ÿง‘๐Ÿพโ€๐ŸŽจ๐Ÿ‘ฉ๐Ÿฝโ€๐ŸŽจ Warsha hii itakuwa ikiongozwa na Vincent Temu (ย @vensa_temuย ) katika toleo la pili la โ€œDrawing from Lifeโ€ โœ๏ธ๐Ÿ–ผ๏ธ ๐Ÿ—“๏ธ Jumanne | 12 Agosti 2025 โฐ Saa 8 mchana hadi saa 11 jioni ๐Ÿ“ Nafasi Art Space Usikose nafasi […]

Free

NAFASI ART SPACE – LIVE MUSIC!!

NAFASI ART SPACE Nafasi Art Space, Dar es salaam, Dar Es Salaam

Greetings, Music Lover! As a valued fan of great music, Bongo Roots warmly invites you to the launch of the new EP titled โ€œConversationsโ€ by Ras Gwandumi. ๐Ÿ—“ Date: 1st August 2025 ๐Ÿ“ Venue: Nafasi Art Space ๐Ÿ•— Time: 8:00 PM โ€“ Midnight โ€œConversationsโ€ is a powerful collection of roots-inspired compositions that reflect Ras Gwandumiโ€™s […]

Free