- This event has passed.
THE MAKE UP!
December 17, 2024 @ 8:00 am - December 19, 2024 @ 3:00 pm
The Make Up! π¨ Bringing life and color to public spaces through art.
Outreach Program: Donβt miss the chance to be part of the story! Join a team of talented artists as we beautify the Magufuli Bus Terminal with creativity and color.
ββββββββββββββββββββββββββββ
The Make Up! π¨ Inakuletea uhai na rangi kwenye maeneo ya umma kupitia sanaa.
Programu ya Kuwafikia Watu: Usikose nafasi ya kuwa sehemu ya hadithi hii! Jiunge na timu ya wasanii wenye vipaji tunapopamba Kituo cha Mabasi cha Magufuli kwa ubunifu na rangi.